MFUMO Jumuishi wa Usimamizi wa Kodi za Ndani (IDRAS) umeelezwa utamwezesha mlipa kodi kujisajili na kupata Namba ya Utambulisho wa Mlipakodi (TIN) moja kwa moja bila kulazimika kufika katika ofisi za ...
BAADA ya kukosa ushindi kwenye mechi tano mfululizo za Ligi Kuu Bara, uongozi wa Mashujaa upo katika mazungumzo ya kumalizana na kocha wa kikosi hicho, Salum Mayanga ili kufikia makubaliano ...
Mshambuliaji wa zamani wa England Andy Carroll amerudi katika klabu yake ya utotoni miaka minane baada ya kuondoka. Mchezaji ...
Mahakama Kuu ya Tanzania imetamka kuwa Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) si taasisi ya kuwakilisha Waislamu wote nchini, na kwamba ni kinyume cha Katiba kwa Serikali kuwalazimisha Waislamu ...
Afrika Mashariki inashuhudia mapinduzi makubwa ya soka. Kizazi cha vijana chenye ubunifu, maendeleo ya teknolojia, pamoja na ukuaji wa kasi wa miundombinu ya kidijitali vinaendelea ...
Vyombo vya Habari nchini Tanzania vimepigwa marufuku kutangaza ushuhuda unaotolewa mbele ya tume inayochunguza ghasia za ...
Kutengwa kwa waandishi wa habari kunaashiria mabadiliko katika mbinu ya uchunguzi na kumezua maswali kuhusu uwazi.
Bodi ya uthibiti wa wanahabari nchini Tanzania, JAB, kwenye tarifa yake imesema kuwa wamebaini ongezeko kubwa la watu na vyombo vinavyochapisha habari bila kibali na kwamba wataanzisha operesheni ya ...
Licha ya Tanzania, kupambana kiume uwanjani, bao la mshambuliaji Brahim Diaz, katika dakika ya 64, lilitosha kuipeleka Morocco, katika hatua ya robo fainali na sasa itamenyana na Cameroon Januari 09.
Brahim Diaz's 64th-minute goal helped hosts Morocco notch up a confident 1-0 victory over Tanzania in their round of 16, Africa Cup of Nations 2025 clash at the Prince Moulay Abdellah Stadium in Rabat ...
Morocco are into the AFCON 2025 quarter-finals after narrowly beating a defiant Tanzania in Rabat. It was a last-16 tie dominated by the tournament hosts but it took them more than an hour to get the ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results