TUNAPOUAGA mwaka 2025, dunia inatazama nyuma kwenye mfululizo wa matukio mazito yaliyobadili mwelekeo wa siasa, teknolojia, na usalama wa kimataifa. Huu umekuwa mwaka wa mabadiliko makubwa, ambapo mif ...
‘’Ni dhahiri kwamba Rwanda na Kenya ni nchi mbili zenye historia na mfumo tofauti wa uongozi, lakini bila shaka kuna mambo ambayo Kenya inaweza kujifunza kutoka kwa Rwanda hususan umuhimu wa mkuu wa ...
Evelyn Joshua amekuwa kiongozi wa moja ya makanisa yenye ushawishi zaidi ya kiinjili, lakini mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 52 anakabiliwa na changamoto ya kuendeleza aliyoyaacha marehemu mumewe.
Baraza la Uongozi lamfukuza na kumfungulia mashtaka ya uhaini kiongozi wa vuguvugu la wanaotaka kujitenga aliyekataa ...
Historia ya kweli ya Wakenya itaandikwa na Wakenya wenyewe. Leo nawaandikia wakenya hii barua na kuwaomba wasilie. Msilie wazalendo wenzangu maana sote twajua kuwa nchi yetu inaumia, nchi yetu ...