Inasemakana Mark Zuckerberg ameanza ujenzi katika eneo lake lenye ukubwa wa ekari 1,400 kwenye kisiwa cha Hawaii cha Kauai, kutoka mwaka 2014. Anajenga makazi, yatakayo zalisha nishati na chakula.